Kubusu msahafu ni jambo halina msingi

Swali: Ninawaona watu waanafanya jambo ambalo katu sijawahi kulisikia wala kuliona [hapo kabla], nalo si jengine ni kuwa wanabusu Qur-aan kama jinsi mtu anavyombusu mwengine.

Jibu: Kitendo cha mtu kubusu msahafu hatujui kuwa kina msingi.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/122)
  • Imechapishwa: 22/08/2020