Swali: Msafiri ambaye anafaa kufupisha swalah anapata dhambi kwa kuacha kufanya hivo?
Jibu: Hapana. Ni sahihi kwake kuswali kikamilifu na haina neno. Lakini kuchukua rukhusa ya kufupisha ndio bora zaidi kuliko kuswali kikamilifu. Lakini hata hivyo kuswali kikamilifu ni sahihi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (47) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-12.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Msafiri ambaye anafaa kufupisha swalah anapata dhambi kwa kuacha kufanya hivo?
Jibu: Hapana. Ni sahihi kwake kuswali kikamilifu na haina neno. Lakini kuchukua rukhusa ya kufupisha ndio bora zaidi kuliko kuswali kikamilifu. Lakini hata hivyo kuswali kikamilifu ni sahihi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (47) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-12.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/msafiri-asiyefupisha-swalah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)