Msafiri asiyefupisha swalah

Swali: Msafiri ambaye anafaa kufupisha swalah anapata dhambi kwa kuacha kufanya hivo?

Jibu: Hapana. Ni sahihi kwake kuswali kikamilifu na haina neno. Lakini kuchukua rukhusa ya kufupisha ndio bora zaidi kuliko kuswali kikamilifu. Lakini hata hivyo kuswali kikamilifu ni sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (47) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-12.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020