Swali: Wakati fulani huulizwa kuhusu baadhi ya maneno batili na walioyasema na unabainisha haki juu ya hilo na Allaah akujaze kheri. Lakini baadhi ya watetezi wa maneno hayo husema ya kwamba lau Shaykh Swaalih (al-Fawzaan) angelijua kuwa maneno haya yamesema fulani asingelimraddi. Je, kumjua alioyasema kuna taathira katika kubainisha kosa na kubadilisha…

Jibu: Hapana. Batili inaraddiwa kwa yule aliyeisema. Haijalishi ni nani. Batili inaraddiwa kwa yule aliyeisema. Hakuna wa kupakwa mafuta katika hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-26.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020