Swali: Kubaki mabaki ya Siwaak ndani ya swalah yanabatilisha swalah?
Jibu: Hapana, haidhuru. Hili halidhuru. Kukibaki kitu kidogo kwenye meno yake… Kinachotakikana ni yeye kukitema. Endapo hakuweza kufanya hivi, haidhuru kitu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-26.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Kubaki mabaki ya Siwaak ndani ya swalah yanabatilisha swalah?
Jibu: Hapana, haidhuru. Hili halidhuru. Kukibaki kitu kidogo kwenye meno yake… Kinachotakikana ni yeye kukitema. Endapo hakuweza kufanya hivi, haidhuru kitu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-26.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/mabaki-ya-siwaak-ndani-ya-swalah/