Msafiri anayetakiwa kuswali kikamilifu tangu siku ya kwanza

Swali: Je, ikiwa amekaa zaidi ya siku nne afupishe hizo siku nne kisha aswali kwa kukamilisha?

Jibu: Hapana, asifupishe kabisa. Muda wa kuwa amenuia kukaa zaidi ya siku nne, basi atakamilisha swalah tangu siku ya kwanza aliyowasili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25149/هل-يقصر-الصلاة-من-نوى-الاقامة-اكثر-من-اربعة-ايام
  • Imechapishwa: 14/02/2025