Swali: Ni nini maana ya mtu asipose juu ya posa ambayo kishaposa ndugu yake, isipokuwa ikiwa hatokubaliwa?
Jibu: Wakikataa posa yake, hapo ndipo inafaa kwako kwenda na kuposa. Lakini muda wa kuwa hujui kama amekataliwa au hapana, usimwingilie. Hii ni haki yake. Amekwishakutangulia. Usiingize.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
- Imechapishwa: 02/09/2023