Swali: Mwanaume amemchumbia mwanamke kisha baadaye akajirejea na akaamua badala yake kumposa mama yake. Je, inafaa?
Jibu: Ndio. Muda wa kuwa hajafunga ndoa na msichana, inafaa kwake kumuoa mama yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
- Imechapishwa: 11/08/2023