Hapa ndipo mchumba anakuwa Mahram wa mama mkwe

Swali: Mwanamke akimposa mwanamke. Je, mama mkwe anazingatiwa ni Mahram yake?

Jibu: Hapana, mpaka pale atapomuoa msichana wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 11/08/2023