Kuoa mke wa pili kisiri katika nchi iliyopiga marufuku ndoa ya mitala

Swali: Nchini kwetu wametunga sheria zinazopiga marufuku ndoa ya mitala na anaadhibiwa kwa kufungwa jela anayefanya hivo. Unatunasihi nini juu ya hilo? Je, inafaa kwetu kuoa mke wa pili kwa kisiri?

Jibu: Ikiwa mnaogopa msije kushikwa, msiziweke nafsi zenu khatarani. Lakini ikiwa hamna khofu na mnaweza kuoa, ijapo inaenda kinyume na kanuni, basi hapana neno:

”Hakuna madhara wala kudhuriana.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 11/08/2023