Mposaji ameamua kumuoa msichana wa mama

Swali: Mwanaume amemchumbia mwanamke kisha baadaye akajirejea na akaamua badala yake kumposa mama yake. Je, inafaa?

Jibu: Ndio. Muda wa kuwa hajafunga ndoa na msichana, inafaa kwake kumuoa mama yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 11/08/2023