Amemwacha baada ya kukaa naye faragha na kabla ya kumjamii

Swali: Mwanaume amemuoa mwanamke na akakaa naye chemba ambapo baadaye akamtaliki kabla ya kumjamii. Je, anastahiki kupewa mahari kamili?

Jibu: Ndio. Akikaa naye chemba na kujimakinisha kwake, basi analazimika kumpa mahari kamili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 11/08/2023