Kunyonyesha mara moja kwa mwezi

Swali: Mwanamke amemnyonyesha mtoto mara moja kwa mwezi mpaka idadi ya unyonyeshaji ikatimia mara tano. Je, anazingatiwa ni kutakasa baada ya ule unyonyeshaji wa mara ya tano?

Jibu: Ndio. Muda wa kuwa yamefanyika ndani ya ile miaka miwili ya mwanzo, wanazingatiwa imetakasa hata kama yametokea katika nyakati mbalimbali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 11/08/2023