Mpaka amalize kufanya yote matatu

Swali: Mwenye kurusha vijiwe na akatufu inakuwa ni halali kwake kufanya kila kitu?

Jibu: Hapana, mpaka amalize kupunguza nywele au kunyoa. Ni lazima kufanya yote mawili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25010/ما-الذي-يحل-لمن-رمى-وطاف
  • Imechapishwa: 24/01/2025