Swali: Je, wenye nguvu wanarusha vijiwe kabla ya kuchomoza kwa alfajiri?

Jibu: Ni sahihi, lakini ameacha lililo bora. Mwenye kurusha vijiwe kabla ya kuchomoza kwa jua ni sahihi, lakini ameacha kilicho bora zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25006/هل-يجزى-رمي-الاقوياء-في-الحج-قبل-الفجر
  • Imechapishwa: 24/01/2025