Mkusanyiko wa pili au swalah ya jeneza?

Swali: Mtu akiingia msikitini baada ya kuswaliwa swalah ya mkusanyiko. Halafu kukafanywa mkusanyiko mwingine na kukasogezwa mbele jeneza liswaliwe. Je, aanze kuswalia jeneza?

Jibu: Aanze kuswalia jeneza kisha aswali na hao wengine, kwa sababu swalah ya jeneza itampita na kulipa swalah hakutompita.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23637/هل-يبدا-بالجنازة-الحاضرة-من-فاتته-فريضة
  • Imechapishwa: 07/03/2024