Kuandika jina katika msikiti uliyojenga

Swali: Ibn-ul-Jawziy amesema:

“Mwenye kuandika jina lake kwenye msikiti aliyoujenga anakuwa mbali na kumtakasia nia Allaah.

Jibu: Sio katika hali zote. Lengo lake linaweza kuwa atambulike kwa hilo na sio kujionyesha. Anaweza kuwa amejitahidi ili atambulike kuwa yeye ndiye ameujenga pasi na kukusudia kujionyesha.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23640/حكم-من-يكتب-اسمه-على-ما-بناه
  • Imechapishwa: 07/03/2024