Swali: Inasihi Hajj au ´Umrah ya ambaye amechukua deni?
Jibu: Ndio, inasihi. Hata hivyo haikusuniwa kwake kuchukua mkopo. Hajj na ´Umrah inakuwa wakati mtu yuko na uwezo. Asichukue mkopo kwa ajili ya kuhiji. Akiweza ashukuriwe Allaah. Vinginevyo ni mwenye kusamehewa na Allaah na asijikalifishe.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22851/ما-حكم-الاستدانة-للحج-او-العمرة
- Imechapishwa: 08/09/2023