Swali: Ni ipi hukumu ya mtu anayechukua mkopo benki ili aoe? Je, hiyo inahesabiwa ni ribaa?
Jibu: Ikiwa wanakupa 20.000 na unarudisha 23.000, hiyo ni ribaa ya ziada. Muda wa kuwa utalipa ziada inaingia katika ribaa.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 288
- Imechapishwa: 09/01/2025
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Benki haikukopi isipokuwa kwa ribaa
Swali: Je, inajuzu kuchukua mkopo wa benki? Jibu: Mkopo mzuri unajuzu. Mkopo ambao hauna ribaa wala kuwekeza unajuzu; mkopo ambao unakopa kiwango fulani cha pesa na unarudisha hicho hicho bila ya ziada. Huu ndio mkopo mzuri. Ama kuhusiana na mkopo unaotakiwa kutoa ziada au manufaa (hata kama sio ziada) ni…
In "Ribaa"
Benki inakununulia ardhi baadaye wanakuuzia nayo
Swali: Ni ipi hukumu benki kuninunulia ardhi kisha wakaniuzia ardhi hiyo? Jibu: Ikiwa benki watanunua ardhi, wakaimiliki na kubaki nayo, inafaa kwao wakakuuzia nayo. Lakini kitendo cha wao kukununulia nayo kisha ukalipa thamani yake na bei ya ziada, huo ni mkopo. Ziada unayolipa katika hali hiyo ni ribaa.
In "Ribaa"
Zakaah kwa aliyechukua mkopo wa ribaa
Swali: Mtu ambaye amechuua deni la ribaa kutoka katika benki kisha baadaye akafilisika na kushindwa kulipa. Je, apewe pesa ya zakaah? Jibu: Ndio, apewe. Kwa sababu ni mwenye deni na anaingia ndani ya maneno ya Allaah (Ta´ala): إِنَّمَا الصَّدَقَاتُ لِلْفُقَرَاءِ وَالْمَسَاكِينِ وَالْعَامِلِينَ عَلَيْهَا وَالْمُؤَلَّفَةِ قُلُوبُهُمْ وَفِي الرِّقَابِ وَالْغَارِمِينَ وَفِي سَبِيلِ…
In "Watu wanaostahiki kupewa zakaah"