Mkopo benki kwa ajili ya mahari

Swali: Ni ipi hukumu ya mtu anayechukua mkopo benki ili aoe? Je, hiyo inahesabiwa ni ribaa?

Jibu: Ikiwa wanakupa 20.000 na unarudisha 23.000, hiyo ni ribaa ya ziada. Muda wa kuwa utalipa ziada inaingia katika ribaa.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 288
  • Imechapishwa: 09/01/2025