Haijuzu kwa yeyote kufanya kazi na beki za ribaa muda wa kuwa hakuna dharurah. Ikiwa unachelea pesa zako kupotea au kuibiwa, hapana vibaya kuhifadhi pesa zako benki kwa sharti usichukue ribaa. Ukiongezea kwamba pesa zako zinawasaidia ribaa. Wanaamsha pesa zako na kupata faida juu yake.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 284
  • Imechapishwa: 09/01/2025