Mkojo wa kila mnyama asiyeliwa nyama yake

Swali: Mkojo wa mnyama asiyeliwa nyama yake ni msafi kama mkojo wa punda?

Jibu: Ni najisi. Hakuna tofauti [kwa wanazuoni juu ya hilo]. Mfano wa wanyama hao ni punda, paka, mbwa na nyumbu. Mkojo wa wanyama wote hawa ni najisi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22906/حكم-بول-ما-لا-يوكل-لحمه
  • Imechapishwa: 14/09/2023