Chombo kilichorambwa na mnyama mkali kinaoshwa mara saba?

Swali: Je, chombo kilichorambwa na wanyama wakali kinaoshwa mara saba ambapo muosho wa kwanza inakuwa kwa mchanga?

Jibu: Maoni ya sawa ni kwamba hili ni maalum kwa mbwa tu.

Swali: Je, anabaguliwa mbwa kwa ajili ya mifugo na mbwa kwa ajili ya kuwinda?

Jibu: Hawabaguliwi. Hadiyth ni yenye kuenea.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22900/حكم-طهارة-الاناء-اذا-شربت-منه-السباع
  • Imechapishwa: 14/09/2023