Swali: Mke wangu hahifadhi swalah [baki ya swali haliko wazi]…
Jibu: Ni wajibu kwake kumlazimisha swalah. Haitoshi kwake kule kumuamrisha tu kisha akamuacha. Ni lazima kwake kumuamrisha hilo, hata kama itapelekea kwamba kumtia adabu kwa kumpiga kipigo kisichoumiza na kisichokuwa cha sana. Ni wajibu kwake. Ni mke wake. Asimuache akapuuzia swalah. Na ikiwa ataendelea kufanya hivyo, aachane naye. Aoe mwanamke mwengine ambaye ni mwema.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13694
- Imechapishwa: 20/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket