Mke wangu hahifadhi swalah, nifanye nini?

Swali: Mke wangu hahifadhi swalah [baki ya swali haliko wazi]…

Jibu: Ni wajibu kwake kumlazimisha swalah. Haitoshi kwake kule kumuamrisha tu kisha akamuacha. Ni lazima kwake kumuamrisha hilo, hata kama itapelekea kwamba kumtia adabu kwa kumpiga kipigo kisichoumiza na kisichokuwa cha sana. Ni wajibu kwake. Ni mke wake. Asimuache akapuuzia swalah. Na ikiwa ataendelea kufanya hivyo, aachane naye. Aoe mwanamke mwengine ambaye ni mwema.

Check Also

Mke anachukua pesa kutoka kwa mume kwa ajili ya haja za mustakabali

Swali: Mke anachukua pesa kutoka kwa mume wake na anasema kuwa ni kwa ajili ya …