Mke wa mtoto wa kunyonyesha ni Mahram yangu?

Swali: Mke wangu anaye mtoto wa kiume ambaye alimnyonyesha. Je, mke wa mtoto huyu wa kunyonyesha anakuwa Mahram kwake?

Jibu: Ni Mahram:

“Yanaharamisha katika kunyonya yale yanayohamisha katika nasaba.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22881/هل-زوجة-ابن-الرضاعة-من-المحارم
  • Imechapishwa: 09/09/2023