Swali: Mjomba wa mume ni Mahram kwa mke?
Jibu: Hapana si Mahram wake, si kaka yake mume wala mjomba wa mume, wote hao si Mahaarim ni ajinabi. Ni wajibu kwake kujisitiri kwao.
- Muhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://z-salafi.com/v2/action?s_menu=23&idFatwa=2196
- Imechapishwa: 22/09/2020
Swali: Mjomba wa mume ni Mahram kwa mke?
Jibu: Hapana si Mahram wake, si kaka yake mume wala mjomba wa mume, wote hao si Mahaarim ni ajinabi. Ni wajibu kwake kujisitiri kwao.
Muhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://z-salafi.com/v2/action?s_menu=23&idFatwa=2196
Imechapishwa: 22/09/2020
https://firqatunnajia.com/mjombake-mume-ni-mahram/