Mjombake mume ni Mahram?

Swali: Mjomba wa mume ni Mahram kwa mke?

Jibu: Hapana si Mahram wake, si kaka yake mume wala mjomba wa mume, wote hao si Mahaarim ni ajinabi. Ni wajibu kwake kujisitiri kwao.

Check Also

Mtu kumuoa mama wa mke wa baba

Swali: Je, mama wa mke wa baba yangu na dada zake ni Mahram wangu? Jibu: …