Swali: Je, inafaa kwa mwanamke aliye ndani ya eda kuwatembelea ndugu zake nje ya mji kama vile kusafiri ikwenda kwa wazazi wake?
Jibu: Hapana. Asisafiri isipokuwa baada ya kumaliza eda yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
- Imechapishwa: 05/05/2023