Mwalimu wa kike kipindi cha eda

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke aliye ndani ya eda kwenda kazini kwake ikiwa ni shule binafsi…

Jibu: Ndio, wakati wa mchana. Baadaye arudi. Anatakiwa kulala nyumbani kwake. Wakati wa mchana inafaa kwake kutoka kwa ajili ya mahitaji yake kisha baadaye arejee nyumbani kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 05/05/2023