Mjane kusafiri kwenda kwa wazazi wake kipindi cha eda

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke aliye ndani ya eda kuwatembelea ndugu zake nje ya mji kama vile kusafiri ikwenda kwa wazazi wake?

Jibu: Hapana. Asisafiri isipokuwa baada ya kumaliza eda yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 05/05/2023