Swali: Mwanamke amekuwa mwenye kusumbuliwa sana kwa sababu ya mke wa jirani yake, ambapo akalazimika kutoka katika nyumba ya mume wake na akasafiri kwa wazazi wake nje ya nchi. Mume hivi sasa ameaga dunia. Je, analazimika kurejea kwa ajili ya kukaa eda katika nyumba yake kwa kuzingatia yale matatizo alionayo na mke wa jirani yake?
Jibu: Ikiwa anadhurika kwa kule kurejea kwake na safari ni ndefu, kwa maana nyingine ni ndefu zaidi ya 80 km, basi asirejee.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
- Imechapishwa: 21/05/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)