Swali: Mwanamke mwenye mimba anapochoka wakati mwingine inajuzu kwake kuswali swalah za faradhi kwa kukaa au juu ya kiti?
Jibu: Ndio. Akihitajia kuswali kwa kukaa au kuswali juu ya kiti kwa sababu ya ujauzito, ni mwenye kupewa udhuru.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-23.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Swalah juu ya kiti
Swali: Kuna kidhibiti kipi kwa kukaa juu ya kiti na kuswali? Lililo bora zaidi ni kukaa katika ardhi na kuswali? Jibu: Haifai kwake kuswali hali ya kuwa amekaa juu ya kiti ikiwa anaweza kuswali kwa kukaa katika ardhi. Asikae na kuswali juu ya kiti isipokuwa tu pale ambapo atashindwa kukaa…
In "Hali ya kusimama"
Swalah juu ya kiti
Swali: Ni ipi njia sahihi ya kuswali juu ya kiti? Jibu: Hakuna njia maalum ya kuswali juu ya kiti. Swali: Je, miguu ya mbele ya kiti iwekwe mwanzoni mwa safu au mwishoni mwake? Jibu: Usiwaudhi watu. Kiweke kiti kwa namna ilio ya sawa.
In "Mambo yanayochukiza katika swalah"
Twawaaf juu ya kiti cha magurudumu au gari
Swali: Je, inafaa kwa ambaye ni muweza kufanya Twawaaf kwenye kiti cha magurudumu? Jibu: Hakuna neno. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya Twawaaf hali kukaa juu ya mnyama. Wakati watu waliposongamana kwake, aliketi juu ya mnyama. Alifanya hivo ili watu waweze kumuona na aepuke msongamano. Inafaa kufanya Twawaaf hali…
In "Twawaaf"