Swali: Imeshurutishwa kuweka nia wakati wa kutaka kujumuisha [swalah mbili]?
Jibu: Bila ya shaka. Hakika ya kila kitendo kinategemea nia na kila mmoja atalipwa kutokana na vile alivonuia. Ni lazima kuweka nia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-16.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Imeshurutishwa kuweka nia wakati wa kutaka kujumuisha [swalah mbili]?
Jibu: Bila ya shaka. Hakika ya kila kitendo kinategemea nia na kila mmoja atalipwa kutokana na vile alivonuia. Ni lazima kuweka nia.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-16.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/kuweka-nia-wakati-wa-kujumuisha-swalah/