Swali: Ni ipi hukumu ya kujenga misikiti kwenye makaburi na ni ipi hukumu ya kuibomoa?
Jibu: Haijuzu kujenga misikiti kwenye makaburi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kufanya makaburi ni mahapa pa kuswali na amemlaani mwenye kufanya hivo. Hilo linahusu kujenga misikiti kwenye makaburi na kuswali ndani yake.
Msikiti ukijengwa kwenye makaburi ni wajibu kuubomoa. Kwa sababu msikiti huo umeasisiwa kinyume na njia ya Kishari´ah. Sababu nyingine kubakia kwenye msikiti huo na kuswali ndani yake ni njia inayopelekea katika shirki.
- Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/272)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kujenga misikiti kwenye makaburi na ni ipi hukumu ya kuibomoa?
Jibu: Haijuzu kujenga misikiti kwenye makaburi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kufanya makaburi ni mahapa pa kuswali na amemlaani mwenye kufanya hivo. Hilo linahusu kujenga misikiti kwenye makaburi na kuswali ndani yake.
Msikiti ukijengwa kwenye makaburi ni wajibu kuubomoa. Kwa sababu msikiti huo umeasisiwa kinyume na njia ya Kishari´ah. Sababu nyingine kubakia kwenye msikiti huo na kuswali ndani yake ni njia inayopelekea katika shirki.
Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/272)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/misikiti-inayofungua-njia-ya-shirki/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)