Swali: Sisi tuko na mtu anayefanya matabano akiwa mbali na anadai kuwa anafichukua mahali ulipo uchawi…
Jibu: Huyu ni mwongo na dajali. Msende kwake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
- Imechapishwa: 29/07/2023