Swali: Kuna mtu ana mfanya kazi kwenye kilimo. Mfanya kazi huu anaswali lakini hafungi Ramadhaan bila ya udhuru wa Kishari´ah pamoja na kuwa kazi sio ngumu. Je, amwache au abadilishe mwingine?
Jibu: Abadilishe mwingine. Allaah Anasema:
وَتَعَاوَنُوا عَلَى الْبِرِّ وَالتَّقْوَىٰ ۖ وَلَا تَعَاوَنُوا عَلَى الْإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ |
“Shirikianeni katika wema na kumcha Allaah, na wala msishirikiane katika dhambi na uadui.” (05:02) |
Swali: Kuna mtu ana mfanya kazi kwenye kilimo. Mfanya kazi huu anaswali lakini hafungi Ramadhaan bila ya udhuru wa Kishari´ah pamoja na kuwa kazi sio ngumu. Je, amwache au abadilishe mwingine?
Jibu: Abadilishe mwingine. Allaah Anasema:
وَتَعَاوَنُوا عَلَى الْبِرِّ وَالتَّقْوَىٰ ۖ وَلَا تَعَاوَنُوا عَلَى الْإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ
“Shirikianeni katika wema na kumcha Allaah, na wala msishirikiane katika dhambi na uadui.” (05:02)
https://firqatunnajia.com/mfanya-kazi-asiyefunga-ramadhaan/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket