Swali: Baadhi ya vifaa vya kujipodoa vinazuia maji kufika kwenye ngozi wakati wa Wudhuu. Unawanasihi nini wanawake?

Jibu: Ni kama mfano wa vipodozi. Asivitumie isipokuwa katika wakati ambapo mwanamke haimuwajibikii Swalah. Wakati ambapo Swalah inamuwajibikia asivitumie. Sio wajibu kwake kuswali katika wakati wa hedhi na nifasi.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wusswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://olamayemen.com/index.php?article_id=2697
  • Imechapishwa: 03/05/2015