Swali: Ni ipi haya inayosimangwa?

Jibu: Ni ule udhaifu unaomzuia mtu kufanya yale mambo anayotakiwa kufanya kama vile kuzungumza maneno ya kheri au kufanya mambo ya kheri na kuongea haki.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24175/ما-حقيقة-الحياء-المذموم-والخجل
  • Imechapishwa: 08/09/2024