Wanaogopa kuapa kwa mawalii tofauti na kuapa kwa Allaah

Swali: Baadhi ya watu wanapoombwa kuapa kwa Allaah wanaapa, hata hivyo wanaogopa pale wanapoombwa kuapa kwa walii au bwana fulani.

Jibu: Inategemea. Lakini hapana shaka yoyote ya kwamba nyoyo zao zinaugua shirki. Tunamuomba Allaah usalama. Kwa ajili hiyo wanawatukuza mawalii wao zaidi kuliko wanavyomtukuza Allaah. Haya yanatokea kwa wale makafiri na watenda madhambi. Tunamuomba Allaah usalama.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24170/حكم-تعظيم-الاولياء-في-الحلف-وخشيتهم
  • Imechapishwa: 08/09/2024

Turn on/off menu