Swali: Je, mchawi anapouawa anaswaliwa na kuzikwa katika makaburi ya waislamu?
Jibu: Akiuawa haswaliwi na wala hazikwi katika makaburi ya waislamu. Anazikwa katika makaburi ya makafiri. Asizikwe katika makaburi ya Waislamu. Haswaliwi, haoshwi wala hakafiniwi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=14579
- Imechapishwa: 05/05/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket