Ibn Baaz vipaza sauti wakati wa Ruqyah

Swali: Kuna baadhi ya wasomeaji wanawasomea watu kwa njia ya simu, vipaza sauti na mikanda. Je, hilo linajuzu?

Jibu: Yote haya hayana asli. Njia iliyowekwa ni kumuweka mgonjwa mbele yako na kumsomea.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=14579
  • Imechapishwa: 05/05/2015