Kwanini asikufurishwe anayepinga uchawi?

Swali: Wasemaje kwa mwenye kusema:

“Uchawi ni ukhurafi na ni jambo lisilokuwa na uhakika”?

Jibu: Mwenye kufanya hivi ni kafiri. Kwa kuwa Allaah ametaja uchawi katika Qur-aan na akaubainisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Uchawi upo na ni hakika. Baadhi yake ni hakika, unamfanya mtu kuwa mgonjwa na kuua, na baadhi yake ni kiini macho [mazingaombwe]. Wote ni ukafiri. Mwenye kuupinga anakuwa kafiri, kwa kuwa ameikadhibisha Qur-aan.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=14579
  • Imechapishwa: 05/05/2015