Swali: Baadhi ya watu wamezowea kuvaa mavazi meusi wakati wa eda?
Jibu: Sio lazima. Anaweza kuvaa vazi leusi au la rangi nyingine. Muhimu asivae mavazi ya mapambo. Linaweza kuwa vazi nyeusi, njano au nyekundu. Lisiwe na mapambo. Yawe katika mavazi ya kawaida.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22117/ما-حكم-لبس-الاسود-للنساء-في-العدة
- Imechapishwa: 27/10/2022
Swali: Baadhi ya watu wamezowea kuvaa mavazi meusi wakati wa eda?
Jibu: Sio lazima. Anaweza kuvaa vazi leusi au la rangi nyingine. Muhimu asivae mavazi ya mapambo. Linaweza kuwa vazi nyeusi, njano au nyekundu. Lisiwe na mapambo. Yawe katika mavazi ya kawaida.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22117/ما-حكم-لبس-الاسود-للنساء-في-العدة
Imechapishwa: 27/10/2022
https://firqatunnajia.com/mavazi-meusi-ndani-ya-eda/