Swali: Vipi kufanya uadilifu kati ya watoto ikiwa baadhi wanaswali na wengine hawaswali?

Jibu: Hapana, kafiri hana haki. Akiwa kafiri hana haki. Tunachozungumzia ni watoto wa kiislamu. Ambaye anaacha swalah ni kafiri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22114/حكم-التسوية-في-الاعطية-للولد-الذي-لا-يصلي
  • Imechapishwa: 27/10/2022