Mavazi meusi ndani ya eda

Swali: Baadhi ya watu wamezowea kuvaa mavazi meusi wakati wa eda?

Jibu: Sio lazima.  Anaweza kuvaa vazi leusi au la rangi nyingine. Muhimu asivae mavazi ya mapambo. Linaweza kuwa vazi nyeusi, njano au nyekundu. Lisiwe na mapambo. Yawe katika mavazi ya kawaida.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22117/ما-حكم-لبس-الاسود-للنساء-في-العدة
  • Imechapishwa: 27/10/2022