Matibabu yake Mtume ni Wahy au Ijtihaad tu?

Swali: Mwenye kusema kuwa matibabu yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kwa uzoefu na hayatokani na wahy.

Jibu: Mola wako (Jalla wa ´Alaa) amesema:

وَمَا يَنطِقُ عَنِ الْهَوَىٰ إِنْ هُوَ إِلَّا وَحْيٌ يُوحَىٰ

”Wala hatamki kwa matamanio yake. Hayo si chochote isipokuwa ni Wahy unaofunuliwa.”[1]

[1] 53:03-04

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22706/هل-الطب-النبوي-بالتجربة-ام-بالوحي
  • Imechapishwa: 04/08/2023