Swali: Makatazo ya kusema uwongo katika utani ni kwa njia ya machukizo au uharamu?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Ole wa yule mwenye kuzungumza akadanganya ili awachekeshe watu! Ole wake! Kisha ole wake!”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22362/ما-حكم-الكذب-في-المزاح
- Imechapishwa: 24/02/2023