Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya mashindano ya wasichana ya kusoma Qur-aan tukufu kwa utungo ipasavyo (ترتيل) na kwa kuwepo wanaume?
Jibu: Wasichana kusoma Qur-aan kwa utungo ipasavyo kwa kuwepo wanaume haijuzu. Kunachelea juu yao wakafitinishwa naye. Shari´ah imekuja kuziba njia zote zinazopelekea katika haramu.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/127)
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)