Sunnah ni Wahy kutoka kwa Allaah

Swali: Je, Sunnah ni Wahy au hapana?

Jibu: Sunnah ni Wahy kutoka kwa Allaah (Jalla wa ´Alaa) kwenda kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Matamshi yake ni ya (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Imesihi kutoka kwake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba amesema:

“Hakiki mimi nimepewa Qur-aan ni mfano wake pamoja nayo.”

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/285)
  • Imechapishwa: 22/08/2020